Mujama kadandiwa akiwa ndedhe kejani kwake !!!!
Huko majuu tunaskia ninoma ukipatikana ukiwa ndedhe atakama ni kejani kwako..cheki story ya huyu mjama alidandiwa...
Orezo wetu mnira! Vitu njefi juu yake...
Ndio abanjuke kwa video clip yako utamkanja mapinga ???
Keroro smart