Kuna yutman nifla kutoka ward ina itwa Lembus Perkera huko sides za Baringo ali jisuna kwa race na aka mochoka fao ku kuwa County Rep ... Alirun kwa URP ticket.
Sisi kama ma yut pia tuna mbigup tu sana na tuna hope ata letea watu wake change yenye wame tegesa miaka fogo.